
Sporah wa The Sporah ShowHivyo basi napenda kutambulisha kwenu Irene Sporah Njau. akiwa ni mtangazaji wa kipindi cha Sporah Show ambacho kinarushwa na Television ya BET huko Uingereza na kuonekana baadhi ya sehemu kadhaa za Nchi za Ulaya. Yeye ni nani, yuko wapi ana anafanya nini?
Kwa Habari Zaidi Bofya Hapa
Gud Job!
1 comment:
I like Sporah Soo Much, she is my inspiration. I love her show.
Post a Comment