Wednesday, 27 January 2010


Sporah wa The Sporah Show

Hivyo basi napenda kutambulisha kwenu
Irene Sporah Njau. akiwa ni mtangazaji wa kipindi cha Sporah Show ambacho kinarushwa na Television ya BET huko Uingereza na kuonekana baadhi ya sehemu kadhaa za Nchi za Ulaya. Yeye ni nani, yuko wapi ana anafanya nini?

Kwa Habari Zaidi Bofya Hapa

Gud Job!

1 comment:

Anonymous said...

I like Sporah Soo Much, she is my inspiration. I love her show.