Wednesday, 11 August 2010

Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Bwa. Joseph Kusaga akizungumza mbele ya wageni waalikwa usiku huu kwenye uzinduzi wa Clouds TV kujumuisha vipindi na muziki kutoka kituo cha MTV BASE.
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Bwa. Joseph Kusaga akiwa amepozi na Meneja Masoko wa MTV Networks Africa Bwa.Paul Mayanja usiku huu mara baada ya uzinduzi rasmi.
Mmoja wa wanamitindo maarufu hapa Bongo,Fidelis Iranga akijiachia.
Msanii wa bongofleva hapa nchini,Sir Juma Natue akikamua jukwaani usiku huu mbele ya wageni waalikwa.
Wadau mbalimbali wakijiachia
Mjumuisho Wa Clouds Tv Na Mtv Base Wazinduliwa.
Mjumuisho wa Clouds Tv Na Mtv Base Wazinduliwa usiku huu ndani ya much more,Bilicanaz jijini Dar.
Source:Ahmed Michuzi

No comments: