Saturday, 25 December 2010

Balozi Wa TMH -Flavian Matata Na Watoto.

BALOZI WA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' FLAVIANA MATATA AKIWA PAMOJA NA WATOTO WANAOLELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' AMBAO USIKU WA KUAMKIA LEO WALIKUTANISHA WADAU DOUBLE TREE HOTEL JIJINI DAR KATIKA HARAMBEE YA KUWACHANGIA WAPATE GARI.....KATIKA TUKIO LA RED RIBBON FASHION SHOW, AMBAPO KULIKUWA NA FASHION SHOW PAMOJA NA DINNER SAMBAMBA NA MAHSUSI KWA AJILI YA KUCHANGIA PESA AMBAZO ZITANUNULIA GARI LA WATOTO WA TMH.

MTEMBELEE MWANALIBENEKE TINA GEORGE UPATE ZAIDI


KUHUSU TANZANIA MITINDO HOUSE

No comments: