Saturday 25 December 2010

masupa modo wastaafu walikuwepo pia.
Ubunifu wa Manju Msitta.
modo katika vazi la mtoko wa jioni.
Modo katika vazi la kitamaduni.
mambo ya kimasai.
Wabunge January Makamba wa Bumbuli na Mo Dewji wa Singida mjini wakiwa meaza kuu na balozi wa TMH supa modo Flaviana Matata
Mustafa Hassanali na mamodo.
Flaviana akinadi shanga na heleni.
Wadau wa Channel Ten ndani.
Wadau toka Zenji walikuwa ndani ya nyumba.
Shamim Zeze huwa hakosi katika mnuso.
Wadau wakifurahi kuwepo kwenye hafla hii.
Mama Bang! Emelda na wadau.
Mwamvita makamba akiwa kawekwa kati na wadau.
Mange and co.
AY na Juma Mabakila na pichani chini Mtendaji mkuu wa Tanzania Mitindo House Khadija Mwanamboka akiwa na wabunifu, mamodo na MC Taji Liundi wakati wa hafla hiyo ya Red Ribbon usiku wa kuamkia leo Double Tree hotel jijini Dar ambapo jumla ya shilingi milioni 24 zilichangwa kusaidia watoto yatima wanaolelewa na TMH

No comments: