Tuesday, 24 July 2012
FK's Collection...Coming Soon

Kwa wale wateja wa FK's Collection Boutique ambayo ipo pale Baraka Plaza , Mikocheni B, Dar-es-Salaam, Tanzania wanapenda kuwajulisha kuwa FK's collection inatarajiwa kushusha mzigo mpya siku zijazo. Kama umependa huo muonekano hapo juu na vile vile mionekano mingine mingi tu ya Kifashionjunkii, kiofisi, mambo ya Cocktail parties, mitoko ya dates na mengineyo mingi itakuwapo. Msimkose kupitia hapo kuchungulia ni nini FK's Collection imewaandalia kwa wale mpendao kujipenda.

FK's collection wanajulikana kwa bidhaa zenye quality nzuri straight from New York.

Karibuni sana.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu : +255774882677 OR +255688333330

No comments: