Cotton Cricket Cable V -Neck Style!
Ok kwa wale wapenzi wa mchezo wa cricket basi mtakuwa sio wageni kuona hiyo style...inajulikana hivyo kwa upangiliajii wake wa mistari katika sehemu ya shingo na pia mara nyingi zinakuwaga za rangi nyeupe....kwahiyo basi inajulikana kama Cotton Cricket Cable V-Neck Style....mnaonaje mzee mzima Nelly alivyojichapa na rangi zilivyomatch kwa kuvaa shati jeusi na suruali nyeusi na hilo sweater jeupe lenye mistari ya nyeusi shingoni na kumalizia na ofisi (miwani)matata sana ya light black?
1 comment:
Mshikaji kitambo yuko kimya ila katoka bomba sana hiyo out fit ya cricket kama huna mwili mwembamba kama mimi lazima ikuvae maana ina uwazi mkubwa ile kinoma
Post a Comment