Fashion Lifestyle Of Kanye West And Fiance'e Alexis...
Kanye and his future wife Alexis is out doing some shopping at Mr. Chows in Beverly Hills.Please dont forget to checkout the outfits from both of them....4me Am Speechless ....let me give u some space to c on ur on.....i think u get me wakubwa!
5 comments:
Anonymous
said...
they look so great!! But I dont like that hat.it looks boyish.....
wow!! demu wake mkali...nimependaa saana hilo pochi....ndo ugonjwa wangu huo....bila shaka mtaani kwetu nikitoka wanajuaga naenda short tripu kumbe mwenzao ndo naenda town kama si saloon
I really like the chick nice out fit she's so simple and i love the height sheria i hope u know why i am saying that black colour very tight goes well with the hand bag....
Nice lookin couple and they can really dress well...halafu kaka sheria mie nina swali na hichi kitu kinanikera ila naomba jibu kama mwenye blog...hivi ni haki kweli kurudia mtu alichoandika au?!?!
thx kwa swali lako ila nataka kukutaarifu sio tu kurudia ki2 gani mtu mwingine kaandika ila inategemeana na wewe unaelezea nini kuhusu hiyo picha kama vitu vinaendana sio mbaya kwakuwa inaonyesha mawazo yenu yako sawa kuhusu kitu unachotaka kuzungumzia mdau wangu...ni kama kuvaa mavazi unaweza ukamkuta mtu mwingine amevaa vazi flani sio kwamba na wewe umekatazwa kulivaa la aina hiyo hiyo ila choice ndio iakuvanya mnaonekana mmevaa sawa na mawazo yenu yanarandana...nadhani umenielewa mdau wng.thx kwa swali lako....

Post a Comment