Saturday, 5 May 2007

3.Bedroom!
Hiyo ndio bedroom ilivyopangwa simple na kama unavyoona hakuna makorombwezo mengi zaidi ya chumba kuwa na space ya maana na mpangilio wa rangi zilizovanya chumba kiwe na mwanga wa kutosha na hivyo ndivyo chumba kinavyotakiwa kuwepo sio kuweka bright colours ambazo zinakifanya chumba kiwe kama sinema...mnasemaje kitanda hicho,mashuka/mito ya kulalia,kabati simple pembeni,kapeti simple la light grey...kusema kweli chumba kimetulia kinoma....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I really love the design especially the bedroom i love the colors they have gone well with the things that are inside the room.