Friday, 4 May 2007

Travolta!

Mambo ya travolta hayo mnayaonaje?huo mguu ni noma nadhani kwa wajuzi wa milipuko simple....!wadau mnaonaje huo mguu?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Ukiwa na kiatu hiki na heshima lazima iwepo mzee mzima Jakaya Kikwete namkubali kwa pigo hizi za travolta ukipata kitu kama hiki ukakipigia na jeans ya bluu halafu juu unapiga shati lako kali la strips designer MARK SPENCER au NEXT lazima utoke nyoko......sheria nimekusoma hapo