Saturday, 19 May 2007

50Cent Alivyochange Muonekano!


Pichani ni mwanamziki maarufu duniani 50cent alivyo hivi sasa na ni jinsi gani amebadilisha mpaka uvaaji wa mavazi yake na kuonekna kweli yuko kifedha zaidi...kusema ukweli hela nayo inabadilisha watu embu pia tazama hiyo suti aliyovaailivyomtoa kiasi gani na kusema ukweli hilo koti la velvet la rangi mixer ya light blue,brown na silver si mchezo plus shati la kama kijivu hivi na kitambaa pembeni cha coffee brown rangi...mzee mzima style yako mpya umetoka kinoma....safi

2 comments:

Anonymous said...

Cool that he changed his style!!!!!!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Always money changes the look of someone if you want to do business u have to accept some of the things and u need to luk and dress like a business man and for 50 cent his look is more appealing at the moment as a business man