Hivi tunajisikiaje tunapoona viongozi wetu mashuhuri wa kiafrika wanavyopewa shavu na kudhaminiwa mtoni kuliko sisi wahusika ambao ndio wametuletea heshima hiyo....mhh jamani hata mtu kama Mandela wenzetu mpaka wanamtukuza na kumweka katika mavazi mbalimbali dunia kama nembo au alama ya heshima kwake wakati sisi mpaka labda siku ya Uhuru,kampeni za uchaguzi au msiba wake mwenyewe ndio tunampa shavu....embu mcheki Common akiwa kajichapa stock ya t-shirt yenye picha ya madiba kifuani na iko nyoko kwann wabunifu pale nyumbani wasimpe shavu mtu kama nyerere pia?itakuwa safi sana mm naona sijui nyie wadau mnaonaje?
Thursday, 3 May 2007
African Great Leaders Wanavyopewa Shavu Mtoni..Kwanini Sio Sisi Jamani Wahusika!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
T shirt bomba sana imesimama design nzuri sana ya picha ya madiba halafu jinsi alivyovaa koti pamoja na kofia vimesimama sijui hapo chini atakuwa amemalizia kuandamiza na kitu cha hatari common kwenye kuvaa namkubali halafu hao mabinti pembeni wametoka ndukii(wamependeza)ile kisawasawa especially wa kushoto kwake mtoto yuko bomba sana
I really like the T-shirt...so nice...and the outfit is nice too...at least mchoro wa Mandela ila sio zile T-shirt za mikufu!!
Hilo T-S bomba!Ila watu kama wewe Mzee Sheria ndio wakuwasaidia ideas wabunifu wakibongo kuwapa shavu watu kama Nyerere.Naamini soko lipo , maranyingi ni ukosefu wa ubunifu tu kwa wabunifu wetu
Post a Comment