Friday, 4 May 2007

Mambo Ya Gold Nayo Noma....!

Nadhani warembo mnalijua kikamilifu sana swala la uchaguaji wa rangi popote pale mnapoenda shoppin ila nadhani unajua muda mwingine kuna uchaguzi wa rangi flani uivaapo lazima uonekane unique kinoma iwe katika mtindo wowote ili mradi nguo imekukaa swafi basi shaka ondoa hapo...ujue umekimbiza...kama mrembo halle berry pichani amelipuka suti moja kali ya gold na nadhani warembo mmekisoma kitambaa cha suti yenyewe kilivyooenda shule kwa kivupi mabo ya silk hayo.....mnasemaje match yake na vitu alivyolipuka navyo warembo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Halle berry ametoka bomba sana kwenye hiyo gold colour lakini mimi kwa mtazamo wangu naona gold colour inakuwa nzuri na inapendeza zaidi ikivaliwa usiku maana naona watu hata mchana wao twende tu ili mradi waonekane wamevaa gold colour