Nadhani hakuna mtu asiyemjua Kimora Simmons mmiliki wa kampuni Baby Phat iliyoko chini ya Phatfarm ya huko US.....hapo anaonekana kimora akiwa na watoto wake baada ya kumalizika kwa shoo yake majuzi juzi akiwashukuru wahudhuriaji wa shoo yake....sababu kubwa wadau zangu nitaka muweze kuona aina ya nguo aliyovaa white ilivyomtoka,belt ya ngozi na highhills matata chini...ni soo na ametoka nyoko sana sijui nyie mnaionaje wadau zangu?embu niambieni akiivaa hiyo nguo mtoto wa kibongo mwenye figa fresh nadhani itakuwa balaa kama huyo Kimora na figure yake anaonekana hivyo je mtu kama Besta.Ray c wakijidunga kutakalika kweli?mmhhhh
Monday, 14 May 2007
Baby Phat Na Mapigo Ya Kimoro Simmons!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
I like her and her designs...I wish I could be little kid one day so that I can wear clothes from Baby Phat
Ahaaa sheria mkuu mimi nimezimia tu hao watoto sipatii picha unakuwa na mtoto wako anaanza kuwa model akiwa na umri kama hao watoto akija kukua atakimbiza ile mbaya na kama ulivyosema mapigo aliyopiga kimora akivaa besta au ray c ujue kabisa hakutakalika ni balaa tupu
Post a Comment