Dinning Room!


Ni mambo ya interior designing hayo kwa upande wa dinning room...nadhani wadau mmeona style ya meza,vyombo vilivyoendana na rangi ya meza na pia ni jinsi gani rangi nyeusi inavyovutia ikiwa imechanganywa na rangi za brown,light blue na dark blue na kumalizia na silver inavyopendeza..nadhani nimeona niwawekee picha zinazoonyesha kila upande wa dinning room hiyo kwa karibu na kwa mbali pia...nadhani hivi vitu vyote si lazima ukitaka kuweka ndani kwako viwe hivyohivyo kwasababu inategemeana na choice yako ya rangi,na kwa jinsi gani umejenge au umepangilia design ya dinning table kwenye crib yako wadau zangu ila ukweli ndio huo pichani ukipimp crib yako namna hii hata ikiwa simple namna gani itakuwa fantastic na unique kinoma!
1 comment:
What can i say about this classic design and creative one the outer most interior design that once u lay your eyes on it u will definately call the guy to do the interior design for your house
Post a Comment