Wednesday, 9 May 2007

Beyonce Kwa Swala La Pamba 2...Mhh Soo!

Nadhani tukija kutazama kwa umakini zaidi kutafuta mwanamziki wa kike anayevaa pamba kali kwasasa na huwa hakopeshi choice zake basi atakuwa Beyonce kusema ukweli...anajitahidi sana sana embu tadhimini mlipuko white na light baby blue aliyopiga warembo halafu mniambie hilo bwanga la white,kijit-shirt white na mazagazaga ya light blue na gold na kusema ukweli amereflect vibaya sana...warembo mpo?

3 comments:

Anonymous said...

Beyonce!!!...This woman can dress...I like the jewelery!

shamim a.k.a Zeze said...

AHSANTE...SHERIA....kwa mara ya kwanza nimeanza kulifeel bwanga...unajua kwanini sababu limevaliwa likatulia...kwa hiyo bwanga inabidi juu libane kidoogo ili shape ichoreke na chini ndo nimwagie

sasa hawa hawa wengine waliovaa woote vimbaumbau basi wanatuchekesha tulionuna...ama hakika Lady B anatokea kiukweli.

SINA SWALI...sheria

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mtoto kapendeza sana ila sema sijawahi kumuona kachemsha kwenye masuala ya cotton nataka siku nione atakapochemsha