Wednesday, 9 May 2007

Eve Yuko Tight...!


Mrembo Eve pichani akiwa katika Gazeti LA Giant Urban Entertainment la huko US...embu mtazameni mrembo alivyotokaa nyoko na mlipuko huo wa wigi ambalo kusema ukweli ametoka bunduki kinoma...tukumbuke kuna aina tofauti tofauti za mawigi huko kwa wenyewe warembo ambayo yanatofautiana na uwekwaji kwakuwa mengine yanakuwa ya kushonwa na mengine unayavaa kama maski fulani na make up za kumwaga.....mnasemaje wigi hilo limemtoa mrembo eve ama amechemka?

1 comment:

Anonymous said...

Eve looks nice in every hair style!!hata ukiangalia kwenye video ya Kelly Rowland akishirikiana na Eve...Eve ameweka wig ya blond...she still looked nice!!