Beyonce Kwenye Classic Outfit!
Huyo ndio Beyonce ambaye siku zote huwa hapendagi kabisa kubahatisha katika swala zima la pamba kuanzia pamba za kisasa mpaka pamba za kiutu uzima na kusema ukweli yuko juu sana na anakubalika kwa hilo...kama pichani juu akiwa ametoka katika classic outfit akiwa anakula tangazo la simu ya samsung ambayo imempa mrembo huyu ulaji wa maana....nadhani unaona kiblauzi simple alichovaa cheusi,black belt,minsketi black,pochi la maana pembeni na chini amemalizia na highhills moja ya maana black...nadhani warembo mmeona mlipuko huo na si vibaya na nyie siku moja kulipuka mitoko ya namna hiyo.....
1 comment:
Damn!!!!Full Black...I love it..
Post a Comment