Huyo Ndio Foxx Brown....Anamantain Figure Au?


Jamani nimeona niwarushie wadau zangu picha ya mwanamziki mkongwe wa rap Fox Brown alivyo hivi sasa kwakuwa nimeshtuka sana kumwona akiwa katika hali kama hii...kama pamba kuvaa amevaaa za maana ila mwili sijui ndio kumantain figur ama vipi ila kusema ukweli kachoka na kama ndio mambo yaleyale ya Nicole Richie tena nae kapotea vibaya maanake amekuwa kituko...jamani warembo muwe waangalifu na kujikondesha maaake mtapoteza mpaka mvuto na hata pamba zitakuwa zinawakataa kama mnavyoona pichani..du jamani embu niwaulize swali warembo Fox kachoka du?mnaonaje?
2 comments:
Anaumwa huyo...umeliona jipu kweny forehead yake... au katumia dawa za diet...eeewww...anatisha
Eheee anonymous juu umenifanya nicheke maana hicho kitu kwenye paji lake la uso sijui ni nini au ndio pimpls nini lakini katoka bomba kwenye cotton
Post a Comment