




Leo nimeona wadau zangu niwadunge mambo ya rock style kidogo ile muweze kujua style tofauti tofauti za catalogue za mavazi na jinsi gani kila moja ina mvuto wake endapo utapata wasaa wa kuwza kujilipua azo...tukianzia picha ya juu ni OBEY The Regal Polo(form 6),BKE Cross Cuff,BKE Chain Wallet,Lucky Brand Dusty Derby Jean,Punkrose Lounge Shoe mhh nadhani wadau zangu mmependa mix hiyo ya rock style ilivyotulia...haya sina la zaidi kazi kwenu.....
1 comment:
Nimeizimia hio simple imesimama sana hasa mixture za rangi ya black and white iko bomba sana
Post a Comment