Mhh wadau zangu kusema ukweli kuna mambo mengine warembo huwa wanapotea sana na sijui saa nyingine nani anawadanganya kama hapo unavyomuona Nicole Richie alivyokwisha kabisa kisa kumaintain figure...mhh kama ndio hivyo kusema ukweli hapo kapotea vibaya sana badala ya kupendeza na ndio kawa kituko zaidi..nawaasa warembo kuwa saa nyingine ulivyo hivyo labda ndio unapendeza kuliko kujichujua kama msemavyo kumaintain figure..kwakuwa unaweza kuingiwa na mcheche wa kujikondesha ukabakia fuvu kama mrembo pichani au ukajikuta unapoteza hata huo mvuto wote uliokuwa nao ukapotea moja kwa moja..jamani hii noma na inatisha...du....!
Wednesday, 9 May 2007
Mambo Ya Kumaintain Figure Hayo!!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
She looks SCARY!!!!!!! and like a skeleton
anatishaaaaaaaa.mamaaaa..haya mambo yakuwa na ela hujui uzifanyie nini ndio kubaki mifupa mitupu..atishaaaa..sanaaa..mwe ht miss CHAUPEPO kibonge kwa kweli.lol
Kazi kweli kweli Sheria hiyo mimi nafikri siyo mambo ya kumantain figure there must something else maana she luks SCARY i am skinny but thats too much duh.....hatari ladies be careful in what you do
Post a Comment