Thursday, 3 May 2007

Ful Hiphop Style In All Ages!

Sina la kusema sana ila nilitaka wadau zangu muone milipuko ya hiphop haina umri wa mtu gani kuvaa au mtu yupi hatakiwi kuvaa kama muonavyo pichani ni Mwanamziki Nelly akiwa na wanafamilia wake katika awards flani huko nchi za mbele......balaa waungwana!

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

dAH SI MCHEZO MTOKO BOMBA SANA FAMILIA NZIMA WAMETOKA BOMBA ESPECIALLY YULE MTOTO WA KIKE NIMEPENDA SANA CONVERSE ZAKE ZA RANGI YA BLUU ZIKO BOMBA SANA

Anonymous said...

They all look BANG!!!....I mean wote wametoka fresh!!