Grey Silk Suit Inavyongaa!
Unapoonaga aina yoyote yasuti ambayo kitamba chake kinangaa kumbuka kuna aina tofauti tofauti ya materialz zinazotumia kutengenezea kitambaa hicho cha suti....kama uonavyo pichani ni mzee mzima Omarion akiwa kajilipua na suti moja matata sana ya silk grey na shat moja matata sana silk light blue lenye mistari mwembamba ya red,tai ya silk colour light blue n brown na saa moja ya maana na tusisahau miwani mikubwa yenye frame black n white na kioo cha light brown na nadhani chini atamaliza zaidi akiwa kamalizia na kiatu cha dark brown italiana style .....mdungo kusema ukweli umetulia kinoma!
1 comment:
This is what i call a perfect suit i love material used to design the suit as well the tie i think its moreover silk material with those small strips it really luks perfect if i am not mistaken its a two button suit sheria...
Post a Comment