Sitting Room!


Leo nimeona wadau zangu niwadunge stock tena ya mambo ya interior designing kwakuwa nitakuwa nachanganya ladha mbalimbali kuanzia mavazi kwa ujumla,interior designing na lifestyle mbalimbali za watu mashuhuri popote ulimwenguni...sasa leo kati mambo haya interior design nimeona niwadunge stock ya sitting room ili watu wajue ni jinsi gani sebule yako itakiwa kuwa,rangi ya nyumba inayoendana na dhamani utakazo weka ndani,design ya sebule yako na mpangilio wa sebule pia kama uonavyo pichani sebule ilivyo katika pande zote na kupata sura kamili ni jinsi gani sebule inatakiwa kuwepo....nadhani wadau kazi kwenu.
No comments:
Post a Comment