Friday, 4 May 2007

Haiko Kwaajili Ya Mazoezi 2.....Hata Kwenye Mitoko Unakandamiza...!

Uvaaji wa track suit sio lazima uwe unaenda kufanya mazoezi ndio ujilipue nalo ila unaweza ukajilipua tu na kuingia nalo mtaani kama kawaida na ukaendelea kukandamiza kwa kwenda mbele bila matatizo ila swala moja kumbuka endapo utaamua kuvaa vazi hili ni lazima uvalie simple snickers au raba yoyote ilikwonda shule ila sio moka n.k....maanake mavazi mengine unaweza kumix ila kama tracksuit ukimix inatakuwa balaa kinoma....nadhani mnamuona mzee mzima Nas akiwa kajilipua na Tracksuit ya rangi ya kijani mbichi,simple snickers white na ofisi(shades) zenye rangi nyekundu hivi kusema ukweli ametoka fresh kinoma...akiingizana club na huo mdungo lazima tubanane sana....hahha mpo washika dau!

No comments: