Hapo sina lakusema warembo ila kazi kwenu..embu mumtabaruku fresh bibie Rihanna mlipuko aliopiga kuanzia juu mpaka chini then mniambie hiyo aina ya nguo inaitwaje na mlipuko alioufanya hapo pichani umekugwadua kiasi gani...mjadala umeanza 1..2...3...
2 comments:
Mhh...hapo kapendeza ila the outfits inafaa kuvaliwa hapo hapo...yaani kwenye red carpet ya interview..ila in private life u will look a bit different...But...I like the shoes :-D
Rihanna katoka bomba sana nimependa sana wedges alizovaa zimesimama ile mbaya zimeendana na nguo aliyovaa
Post a Comment