Tuesday, 1 May 2007

Inapendeza Mkipata Bodyfit Kama Hiyo Warembo!

Naona kwa mtu yoyote akiwa anavaa aina yoyote ya mavazi basi ukiwa unachoice na pia unavaa kitu kinachokukaa sawasawa na mwili wako ulivyo nadhani unapendeza mno na kuliko ukivaa oversize ili mradi aina ya vazi ulilovaa ni limetengenezwa na brand kubwa.....hapana vaa kitu kinachokukaa na utaona mlipuko wake ukiwa unarandaranda hapa na pale mtaani...mnaoneje hiyo suti aliyovaa Mwanamziki Kelly Rowland?Tazama ni jinsi gani ilivyomchonga mwili wake kama ulivyokaa na jinsi gani amependeza hajaonekana kituko kabisa au mnasemaje mabinti?

2 comments:

Anonymous said...

Kama ulivyosema Kaka Sheria...the suit fits her body na hajaonekana kituko...ila is it ''Kelly'' or ''Kelis''....thanks

DERRICK MUSHOBOZI said...

Katoka bomba sana ndio uzuri wa kuvaa nguo kulingana na mwili wako ulivyo sababu saa zingine ukivaa oversize unaweza ukawa kituko mbele ya watu mimi naona out fit hiyo inafaa sana hasa kwa mwanamke kupigilia kazini au vipi Shamim upo hapo natumaini utakuwa umeikubali out fit hiyo