Wednesday, 9 May 2007

Hata Driving Shoes Unavalia Suti Pia...!

Driving shoes ni aina ya viatu vilivyo flat sana nkiimanisha ni viatu simple na vya chinichini sana...viatu vya aina hii vinakuwa katika design tofauti tofauti ila utakapoa kiona tu na huo utofauti wake utajua ni hivyo tu...kwa ujumla kiatu hichi unaweza ukavalia suti pia bila wasiwasi wowote ila inategemeana na aina ya suti yenyewe kama jamaa pichani amelipukia suti simple na kali kwa kujilipua shati white,bodyfit sweater ya pink,blazer laarmy brown,suruali ya draft ya pink,light grey na kumalizia na driving shoes za white...na kusema ukweli jamaa katoka fresh sana na mrembo pembeni mziki wake mnene pia...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nice out fit wametoka bomba sana