Hiphop Arts Mpaka Kwenye T-Shirt!
Sina la kuongezea hapo ila kuwaambia tu masela swala la hiphop art halijaishia tu kwenye mambo mengine ila mpaka katika swala la pamba ambazo wanamziki wa Hiphop wanawakilisha na print hizo zilizochapishwa na kuchorwa kwa ubunifu mkubwa sana na wa hali ya juu...embu tazama T-shirt white hapo pichani juu alilovaa mzee mzima T.I lilivyoprintiwa kwa ubunifu wa hali ya juu na kuonekana simple...unakuta aina nyingine huwa zinakuwa custom made flani kwa kuprint picha za mtu unayemzimikia kama Big,Tupac,Jay Master J,Big Pun n.k...mnaoneje wadau usimple wa T-shirt hilo pichani?
1 comment:
Mzee mzima T.I the King katoka bomba sio mbaya nimeikubali art iliyofanyika kwenye t shirt yake
Post a Comment