Friday, 11 May 2007

Hata Warembo Wanavaa Tai Pia..Ni Uamuzi Wako 2!

Hata warembo huwa wanapendezaga sana wakivaa tai ila inategemeana na style na aina ya ubunifu wa nguo unayotaka kujilipua nayo..kama pichani ni mrembo Tyra Banks akiwa amejilipua na mjusi wa maana kwenye bodyfit outfits alizovaa kuanzia kiblauzi ndani na gauni lenyewe....na chini hakusita kumalizia na mdundo mweusi i wa maana...nadhani malumbo umemsoma mrembo hapo...

2 comments:

Anonymous said...

I like it!!!but I wanted to see the shoes more!!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Huyu huwezi kuuliza kabisa linapokuja suala la cotton Tyra kasimama vilivyo