Knowle's Wanatisha!
Hiyo ni familia ya knowles kwa ujumla kasoro mdingi tu hapo akamilike kumaliza ubishi...pichani ni Beyonce shoto,mdogo wake Solange na mama yao mzazi wakiwa katika bash moja matata sana huko majuu...nadhani mnamwona mama yao alivyokuwa mbishi kukubali ukweli wakati ni ukuta kwakuwa mpaka mama yao analipuka pamba kali na kuvutia kuliko mabinti zake ingawa umri wake umeenda kinoma...mnaonaje mama alivyojilipua pichani unazani ni dada yao akina beyonce na hiyo ndio inatikiwa kwa mzazi yoyote kwenda na wakati siku hizi...
2 comments:
They all look nice but I like their mum's outfit more than the daughters...and I like Beyonce's shoes!!!
The mother looks better thou watoto nao wametoka ndukii lakini nimekubali out fit ya mama yao
Post a Comment