Siku zote tukumbuke wadau zangu uvaapo suti au juma lolote kali kumbuka tena mashati yaliyotengenezwa kwa material ya silk yanakuwaga balaa ukiambatanisha kama pichani uonavyo pichani mkuu alivyokandamiza na suti nzito black na shati la silk maroon hivi ...mh sooo
1 comment:
Nice out fit i really like it....
Post a Comment