Mashati Ya Kukunja Mikono Na Kufunga Kama Mjeshi Style Imerudi!
Mashati ya kufunga mikono pembeni kama uonavyo pichani wadau zangu yamerudi katika soko la mavazi na kusema ukweli yanapendeza sana hasahasa kwa wale watu wanaolipuka pamba simple kinoma kama jeans,suruali za cadet,basi ukilipata kama hilo unaweza ukajilipua na jeans simple,cadet trouser inayoendana na aina ya rangi ya hilo shati,au hata linen trouser na chini unaweza kumalizia na driving shoes/loafers,sendoz au snickers kali kinoma..nadhani wadau mmenisoma hizo hisabati nazowapa...!
1 comment:
Naona siku hizi style hii imekamata vilivyo town karibia kila mtu anakunja shati ukikutana naye
Post a Comment