Wednesday, 16 May 2007

Hayo Ndio Mambo Ya Hoody!


Kwa wale wapenzi wakuvaa hoody nadhani watakuwa wamemkubali mzee mzima Bobby Valentino kwa jinsi gani alivyokamilisha mlipuko kwa kuvaa hiyo hoody black lenye michoro michoro,jeans kali,miwani na chini amemalizia na air jordan matata sana...nadhani kwenye uvaaji wa jeans na t-shirt hoody inapendeza ukivalia juu kama uonavyo pichani juu....vipi mnaonaje mdungo huo..?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Men i love the shoes they are tight