Jlo Ndani Ya Suti Ya Bwanga........
Nadhani mdau wangu hapo nitakuwa nimewakata kiu chenu kwa kutazama hiyo stylle ya suti za mabwanga kwamba zimerudi tena kwenye maswala ya fashion na kwa kusema ukweli ziko poa sana endapo utapata stock na rangi choice yako inataka..kama hapo pichani juu ni mwanamziki mahiri jlo akiwa kajilipua na ful white suit ya bwanga suruali na kusema ukweli kwa jinsi ilivyomfit kwnye mwili wake imezidi kuonekana nzuri sana...nadhani mrembo shamim hapo umeshapata moyo zaidi kujilipua na style hiyo...!
1 comment:
Gotta buy a suit like that....it's nice
Post a Comment