Thursday, 17 May 2007

Hayo Ndio Mashati Ya Linen!

Hayo wadau zangu ndio mashati yanayotengenezwa kwa material ya linen na ni jinsi gani yanavyoonekana endapo ukijitwika mdungo wake kama uonavyo pichani....embu tazama kama mzee mzima Big B alivyoulamba hilo shati la linen na kulichomolea nje na kujilipua na jeans ya blue chini na nadhani kama hajakosea amevalia simple sendoz/driving shoes/loafers au travolta chini maanake viatu vyote nilivyotaja hapo vinaendana na mpangilio wa mavazi aliyoyavaa....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Uzuri wa linen upate ile ya ukweli halafu pure cotton lazima ukimbize sana upige na jeans yako moja ya bluu halafu chini umalizie kwa loafers au travolta kama sheria alivyosema utatoka bomba sana kama mzee mzima A.B