Thursday, 17 May 2007

Mapigo Hayo...!

Mwanamziki Amerie akiwa na mdogo wake kwenye mtoko mmoja mnene wakiwa wamepigilia pamaba za msingi zilizo katika mitindo ya kizamani kidogo...mnaonaje Amerie hicho kigauni chake cha kala brown na gold kilivyomtoa fresh na huo mdundo aliomalizia chini?je mdogo wake hilo bwanga white silk na kijiblauzi cha silk pia na rangi za gold,brown na white kilivyomtoa nyoko?mpo nadhani warembo na mmewakubali mapigo ya hao sisterz wawili...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I didnt know if amerie has a younger sister i lyk more the way amerie is dressed