Friday, 4 May 2007

Highhills!Embu niwape muda warembo mnipe maoni yenu mmekionaje hicho kiatu pichani na ungelipukia pamba gani ukamilishe mchepuo mzima?

3 comments:

Anonymous said...

du hapo nazidi kukukubali sheria.........kiatu kimeenda shule hapo ni lazima ukikaa uweke nne ndo kitazidi kuvutia.kazi nzuri kijana.

Anonymous said...

du hapo nazidi kukukubali sheria.........kiatu kimeenda shule hapo ni lazima ukikaa uweke nne ndo kitazidi kuvutia.kazi nzuri kijana.

Anonymous said...

Mhh..hivyo viatu nilipoviona nikawa speechless...hata kama ningepewa bure sijui ningevaa na nini...ila i think ni vizuri mtu ukavaa na ''a nice brown top'' na pedo ya jeans fupi...yaani iwe kama pensi fulani..au nimekosea jamani?!?!?!