Hiyo style naomba tuipatie jina wadau zangu/maanake hiyo mixer hapo pichai ambayo Kelis kalipuka nayo si mchezo kuanzia miwani,hiyo white blauzi,tai,jeans,mkanda,pochi, na style yake ya nywele si ya kitoto..basi wadau embu tuipatie jina mdungo huo maanake nikiita Funky sjui itakuwa sijakosea?
1 comment:
Mimi hiyo style ya Kelis naweza kuiita Funky style sababu ukiangalia kuanzia alivyovaa juu halafu mkanda aliovalia kwenye jeans na jeans yenyewe vitu vyote vinaonekana funky style fulani ya late 90's fulani kurudi 80's mara moja kunyuka style hizo sio mbaya na hizo shades zake.
Post a Comment