Tuesday, 8 May 2007

Wadau Zangu!

Hapo ilikuwa jana wadau nilikuwa pamoja na wadau zangu kwenye mkia flani wa jogoo kabla hatujaenda kumpa tafu mshikaji wetu fanta mwenye kofia aliyekuwa anarudi afrika kutengeneza shavu kidogo...nadhani unaowaona wadau wakiwa wamelipuka pamba simple sana ila wametoka bunduki bovu...kutoka shoto ni mdau wangu Gusto,Haki,Fanta mwenyewe na Albert...embu tazama mapigo kuanzia masweater..pink colour,green na mpaka formal shirts kwa mbali..!

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Eeee bwana Sheria huo mlipuko mzima nimeukubali Haki brother you luk gud mzee Fanta nimeikubali shati strips zimesimama pia Albert t shirt imekaa mahala pake safi sana yaani kwa ujumla wote mlitoka nyoko ile mbaya

Anonymous said...

hahahaha!