Kwa wale wapenzi wa kuvaa Baseball Cap naona hapo mtakuwa mmepata mfano tosha wa jinsi gani walipukaji wenzenu wanavyolipuka nazo huko mbele...embu tazama hiyo kofia aliyovaa Ne-yo ilivyowekwa draft au diamond style kali za black,white na grey na kuvaalia t-shirt ndani white,cotton jacket nayo ya draft grey na jeans ya dark blue na katoka si mchezo!mzee mzima Alex Shaa umenisoma hapo
1 comment:
MZEE wa Sexy Love
Post a Comment