Waungwana nimeonaleo niwape warembo stock hiyo hapo mumuone jinsi gani kikaptula kama hicho ambacho kwa sasa ni catalogue kinoma kikiwa kimekufit mwilini namna hiyo naona utakifaidi sana...embu muoneni huyo mrembo alivyoshiba ndani ya hiyo kikaptula.....na material yake ni silk brown.....mzee mzima Tinashe,Derrick mpo hapo?
2 comments:
Dah mkuu hapo mimi niko speechlees kabisa she's damn sexy halafu anaweza kuwa mtoto wa kilatino huyu
Mh...kaka sheria hicho kikaptula kimempendeza sana huyo dada ila kuna wengine maumbo yetu....noma!!!....
Post a Comment