Hizo Ndio Neon Ties Wakurugenzi!
Hizo ni aina ya tai ambazo ni Neon material imetumika kutengenezea....ukiiona kwa mbali uasema ni silk tie ila sio ni nzuri sana kuvalia mashati yenye rangikama zilizopo kwenye tai zenyewe na mashati ya viboxbox yale ya british style kama Marks & Spencer,Pink,St.James na mengineyo yanayotengenezwa uingereza...Nadhani kwa wajuzi wa pamba hawatabishana na mimi kwamba waingereza ndio watu noma kwa formal outfits na design zao ni unique kinoma kwakuwa zinakuwa classic vibaya sana lakini balaa...
1 comment:
I really dont know how to say about this design yaani ukiangalia kwa mbali material yake ni kama vile ya silk lakini ukiipata hiyo tie ukaivalia na shati fulani jeupe halafu lenye draft ndogo ndogo itakuwa bomba sana halafu na suruali yako ya nyeusi halafu chini unamalizia na loafers nadhani itakuwa imekaa vizuri
Post a Comment