Tuesday, 8 May 2007

Huyo Ndio Rihanna...Na Mwonekano Mpya...!


Warembo embu mtazameni Mwanamziki Rihanna kwa jinsi alivyobadili muonekano wake kuanzia style ya nywele na ulipukaji wa pamba au cotton za maana...embu picha ya kwanza juu tazama style ya wigi alivyoliweka..make up...na zagazaga shingoni na pichani chini mlipuko kamili wa koti la silver hivi dogodogo,skin jeans na simple raba za nike kama za boxing hivi...mhh ni balaa hii style iko funky kinoma na inatisha .....!

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nimezimikia hasa picha ya kwanza ya Rhihanna katoka bomba sana she has a pretty face