




Wakuu embu siku moja jaribu kujilipua na ful stock hizo pichani uone utavyotoka fresh...embu tazama kuanzia rangi zilivyopangiliwa kuanzia dark blue/light blue na black vilevile...tukianzia miwani imematch rangi zote za blue kuanzia hilo sweater,jeans,shati na tai,tukiaja kwenye sweater hiyo light blue inaendana na rangi ya jeans na hiyo dark inaendana na shati na tai kwa pamoja na tukienda kwa jeans inaonekana inavyomatch na vyote nilivyokuambia hapo juu...ukija kwenye mkanda nimeona umatch na hiyo travota kwakuwa zote ni rangi nyeusi  kwahiyo mdungo mzima naona umekamiika kabisa wadau zangu hiyo ndio matching nimeona niwape kwa leo kwenye uvaaji wa jeans,shati na tai,sweater na travolta nje ya tulivyozoea kuvaa siku zote mashati na tai na suruali za vitambaa na kumalizia na moka chini sasa pichani embu ona tofauti yake hapo jinsi mdungo ulivyosimama hata kutokea na hata kwendea ofisini pia....jaribu muone wazee ni sooooo!
1 comment:
Sheria ukipata mdungo huu ukaingia nao sehemu sehemu hasa kwenye mikia fulani ya jogooo nafikiri watu wote watatkukubali kuwa unatisha kutokana na kuwa hiyo out fit utakuwa umekandamiza ile kinoma especially huo usafiri ni noma
Post a Comment