


Embu na nyie warembo msione nimewasau kuwapa midungo mbalimbali ila embu tazameni stock hiyo na nyie mjjaribu kujidunga halafu muone kuanzia miwani classic frame ya black,kiblauzi kisicho na mikono chenye mixer ya rangi za black,red na grey ambayo inamatch kuanzia miwani viatu na hiyo jeans ya light blue inayoishia magotini (pedo pusha) na huo mdundo chini red ambao ni balaa pia...mmenipata hapo warembo?kazi kwenu....
No comments:
Post a Comment