
Nadhani warembo hiyo stock hapo pichani mtakuwa mmeikubali vilivyo kwakuwa ni style na catalogue ya maana na simple hata ukiwa umeivaa kujipigilia wakati unahitaji upepo mzuri na kujisikia confortable popote unapoenda...tukianzia juu mpaka chini nimewekea matching ya hali ya juu na kama ujuavyo tukianzia picha ya juu kabisa nimeweka Fossil Circle Watch (saa),Oversized Pendant Necklace,Daytrip Tube Top(kitop),Jeans Penny Stretch Short(kikaptula cha jeans) na chini nimemalizia na Mia Gabriella Shoe(flat shoes)...nadhani mpaka hapo warembo nimewakata kiu chenu...
2 comments:
wow!! i can imagine mtu akivaa hiyo anatokaje....flat shoes ndo ugonjwa wangu no wonder sirefuki.... aminia sheria
I like the watch so much...the outfit is quite nice as well.
Post a Comment