Tuesday, 22 May 2007

Simple Mlipuko Wa Kuzugia Tu Jioni Au Weekend!







Wakuu nimeona niwachapa suprise ya mavazi haya ya kuvalia sendozi na vikaptula kwaajili ya mzunguko ya jioni au yoyote isiyohitaji purukushani kwa mfano kwenye mabash ya jioni kama kupiga ulabu,nyama choma,shopping weekend,kwenda beach n.k...embu tukianzia juu kabisa nimeona niwadunge sunglasses moja kali black rayban,polo t-shirt black,O ring leather belt,Grey hurley vaencia short(kaptula) na Sendoz simple za black...mhh nadhani wazee hapo mmenisoma fresh sana kazi kwenu....



2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

i love the sandals they really look nice kwanza sole ya unene sio mkubwa sana kwahiyo zinakupa ile nafasi ya kuwezesha mguu wako ku-relax vizuri sana na inaonekana ni nyepesi

Anonymous said...

I like the T-shirt, Polo. I always like Ralph Lauren stuff, vimekwenda shule.