Monday, 14 May 2007

Hovaaaaaaaaa!


Wakurugenzi naomba niwapatie muda kidogo muweze kuthaminishe hiyo suti mzee mzima Jigga aliyojifunika nayo ndio mniambie material ya koti mmeionaje na hicho kitambaa cha suti na jinsi gani alivyomatcha kwa ujumla...Hiyo suti ni ina mistari ya grey na black na amevalia na shati la white silk liloendana na tai na kitambaa pembeni nacho white silk na utepe wa black pembeni na miwani aliyoivaa hapo pichani...je mimi binafsi naona mfano ningepata blazer kama hilo la jigga nikavalia na suruali ya velvet black na travolta black chini iliyokaa ubapa?je kwa mawazo yako ukiondolea mfano wangu ingekuwa ni wewe umekata hiyo stock ungejipigiliaje mkuu wangu kwa mtazamo wako?Upo Junior? nadhani umesoma mdungo huo wa jigga..ni soo!

4 comments:

Anonymous said...

I just say: Beyonce deserve to have a man like this and dressing like this!!!!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hapo nachoweza kusema ni kuwa mdungo huo ni wa ukweli yaani kuanzia na shati la silk pia tie ya silk ukija kwenye koti strips ndio zimemaliza kabisa yaani hapo katoka ile yenyewe na sijui hapo ukigusa bei yake utaambiwa ni kiasi gani

Anonymous said...

jiiiiiiiiiigaaaaaaaaaaaaaa! this suit is one of the illest pieces i've ever seen!

Anonymous said...

hata wewe mkuu nakuaminia unaweza ukajilipua the same maanake unatisha mpaka hapo ulipo.