Tuesday, 1 May 2007

Kipupwe Ndani Ya Linen Material!


Huyo ni mrembo Tyra Banks jinsi akiwa nakula kimeo cha Sport Illustrated Magazine...nadhani mnamwona vizuri ni jinsi gani mrembo huyo alivyolipuka linen material white na ni jinsi gani ilivyompendeza kusema ukweli...warembo material hii huwa iko nyepesi sana na ukiwa umejidunga mwilini kusema ukweli unakuwa mwepesi sana....hii aina na style ya mavazi yanayotengenezwa na material hiyo iko hot sana kwenye soko katika kila nyanja basi warembo najua mnazo ila kama unapesa ndefu inakubidi uongeze stock yako ili bakora uchape fresh .....!

2 comments:

Anonymous said...

I looooove Tyra Banks...I mean...She's a model, she's sexy, she's nice 2 everybody and on that picture, her face has potential na hiyo ndio itakufanya mtu ununue hiyo blouse..

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mtoto mkali sana she has money and she know how to spend that money a well known proffesional model i like her REALITY show AMERICA'S NEXT TOP MODEL there you'll know how this chick is really talented....